Deuteronomy 28:52

52 aNao wataizingira miji yote katika nchi yako mpaka kuta ndefu za ngome ambazo unazitegemea zimeanguka. Watazingira miji yote katika nchi ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wako anakupa.

Copyright information for SwhKC